Manzelline

SKIN SOLUTIONS

SKIN SOLUTIONS - Helping you understand your skin!!


Haya wadau natambulisha kwenu duka jipya kabisa hapa jijini Dar wao ni wauzaji wa products za aina tofauti za cosmetics lakini kitu kikubwa kwao ni bidhaa zao wanazouza ni original 100% najua wadau mtashtuka sana kulisikia hili but ni kweli kabisa unaweza fika dukani kwao kwani pia wana tester ili huwezi fahamu ni aina gani powder au foundation inayoendana na rangi ya ngozi yako utapata powder za ukwe'ee zenye majina duniani kama vile, Bobbi Brown, Mac, Black Opal ect kwa bei nafuu!! piga simu hizo hapo chini kwa swali lolote na utawapata professional make-up artist waliobobea ongea nao kwa kufahamu zaidi. Mashughuli Blog itawaletea mambo mengi zaidi toka Skin Solutions 

AINA MBALIMBALI ZA BIDHAA ZINAZOPATIKANA DUKANI

Wanapatikana kupitia no.: +255 783 036 666, +255767 780 014





GUSAGUSA LANGO LA JIJI JUMAMOSI HII 26/05/2012

 Gusagusa wanapatikana jumamosi lango la jiji Magomeni na Jumatano Maxi Bar Ilala, wana wa mujini hakuna wengine!!!!
 Bi Hafua akipasha taratibu ndani ya Lango la jiji
 Hasina Moo, mke peke wa Awadhi,akimtunza Hafua chezea Hasina toto ya Tutty Fruity!!!
Hasina pamoja na wakurugenzi wa Gusagusa

Aza, Hasina Lwiham & Hafua

Hasina na waimbaji wa gusagusa shurti kwa sare!!!
Wapenzi wa gusagusa
Wapenzi wa gusagusa, kwa raha zao!!!

 Aza!
 Hawa ndio BOSS wa Gusagusa Hassan & Fonichupa
 Hasina & Lwiham
 Mkulima angara Gusagusa baada ya kuondoka Melody
 Hasina Moo & Shostiti wamependezaje!!!!
Mambo ya Gusagusa ndani ya Lango la Jiji kila Jumamosi, usikose!!!

SINGLE BOY ALI KIBA FEATURING LADY JAYDEE



MISS UNIVERSE FUNDRAISING EVENT @ SERENA HOTEL 1ST JUNE 2012



DIAMOND TO PERFORM ON BBA EVICTION SHOW

EVICTION SHOW – 27 May 2012
Bongo Flava artiste, Naseeb Abdul alias Diamond Platnumz will be performing at the Live Eviction Show on Sunday May 27 at 21:00 EAT. Known as the king of Bongo Flava, Diamond became the first Tanzanian artist to be nominated for the MTV African Music Awards (MAMA) Brand New Act Award in 2010. Diamond Platnumz also boasts of a series of Tanzania’s Kilimanjaro Music Awards and has been a sensation among both young and old fans.
Namibia’s DJ Umculo on StarGame 
Namibia’s DJ Umculo will be on the ones and twos on StarGame this weekend. The DJ will rock the Saturday night party before taking to the Live Eviction Show stage on Sunday May 27. Umculo has been behind decks for over 14 years and is one of the most accomplished figures in the Namibian music industry.
The 91 day reality super-series Big Brother StarGame, produced for M-Net’s AfricaMagic, is being screened live 24/7 on DStv 198. For more information log on to www.africamagic.tv/bigbrother



NAIJA MOVIE


KIM Vs GWYNETH - NANI KAFUNIKA??

 

Wadau hapa mimi sikubaliani na who wore it best, hapa inategemea na shepu pia sasa hiyo shepu ya Kim si unaona nguo ilivyojimwaga kuendana na shepu? au mnasemaje?? maana huku wajuzi wengi, kwa sababu mimi sivai nguo ambayo haendani na shepu yangu, wala sivai nguo kwa sababu fulani kavaa kapendeza naangalia shepu yangu kwanza!!, Naamini wote wamependeza kila kivyake



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...